Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na Rappa Joniko Flower kikitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiwanja chao cha Thai Village, Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita. Kutoka kulia ni Winfrida Richard, Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK 47 pamoja na Digna Mbepera.
Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakijimuvuzisha kwa Dancing Floor.
Am not a Gold Digger...Njagala Mukwano..... ni Winfrida Richard, Hashim Donode na Digna Mbepera wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Raha za Skylight Band hizo mwenye kupiga yowe pale anapokunwa Ruksaaaaa...!!!
Diva Mary Lucos akifanya yake jukwaani.
Joshua Ndege akimwaga mifwedha kwa Mary Lucos.
Digna Mbepera akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band.
Hashim Donode akikamua jukwaani huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard.
Tuwapo Skylight Band tunatupa shida chini tunaweka mikono juu......Mashabiki wakijiachia kwa raha zao.
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akiwapagawisha mashabiki wa Skylight Band.
Full kuchizika yani usipime itumie Ijumaa yako ya leo vizuriiiiii na Skylight Band.
Aneth Kushaba AK74 na Mary Lucos wakifanya yao jukwaani.
Shazi la mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga kwenye dancing floor.
Sam Mapenzi sambamba na Sony Masamba wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Mheshimiwa Bundala Backstage na Digna Mbepera wa Skylight Band.
Lubea wa Skylight Band na Ukodak
Wadau Donny pamoja na Martin Tanrose wakishow love.
Sisi Dugu moja.... Aba Billdard na Mdogo wake Cliff Seduu wakipata Ukodak.
Backstage ya wasanii wa Skylight Band.