Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA LE MUTUZ STRAIGHT TALKING ON SAYING NO TO THE NASTY PICS IN OUR BLOG!!

$
0
0
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!;-JAMANI NAOMBA KUSEMA ONE THING KUNA BAADHI YA PICHA BLOGGERS MNAZILETA PLEASE ZIPO OUT OF THE LINE KUNA MTU I MEAN WATU WAMECHINJWA NA THE LIKES PLEASE IT IS TOO MUCH JANA KUNA MTU AMENILETEA KUSUDI NIZIRUSHE NIKAZIFUTILIA MBALI ILA NAZIONA KILA KONA YA MITANDAO YETU YA KIJAMII BINAFSI SIAMINI IN TELLING OTHERS WHAT TO DO LAKINI MIMI WILL NEVER POST THEM IN MY BLOG!!
- KAKA UNAYEZITUMA HII NI MARA YA TATU SASA UNANITUMIA NAZIFUTA PLEASE NAKUOMBA SANA USINITUMIE ZITUME KWENYE BLOG ZINGINE MIMI WILL NEVER TOUCH THEM YAANI NASIKIA KUTAPIKA OH! MY GOD!!
- LE MUTUZ



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles