Kwa mujibu wa mashuhuda. Ajali hii ilisababishwa na gari husika aina ya fuso baada ya kufeli mfumo wa breki. Pia inadaiwa kuna mwendesha bodaboda aliyegongwa na kujeruhiwa na sasa yupo hospitali kwa matibabu. Na pia abiria aliyekuwa katika bodaboda hiyo amenusurika.