Zitto Kabwe kuanza ziara nchi NZIMA kuna TIMU 8 za Ardhini na ANGANI
Zitto kuanza ziara nchi nzima wiki ijayo: Mbunge wa kigoma kaskazini, zitto zuberi kabwe (ngumi jiwe), anatarajiwa kufanya ziara kuanzia mwishoni mwa wiki ijayo kwa lengo la kuongea na watanzania. Ziara itaanzia mkoani kilimanjaro, arusha kisha itaenda tanga, morogoro, dsm na baadae atahudhuria vikao vya bunge la katiba. Siku za mapumziko ya bunge ataenda iringa, mbeya na kwamba ratiba itaendelea kutolewa kadri mda utapofika.