Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MBEBEZ MKAREEZ KULIKO WOTE LONDON/UK AWACHANA THE MBURULAZZZZ LIVE!!

$
0
0


"Let me put this straight once and for all.
Hivi nyie anonymous mnaoenda kucomment kwenye blogs including mine na kusthumu watu au kutukana watu bila sababu mna matatizo gani? Kama wewe mtu kweli si ucomment na id yako ya ukweli. Sasa kwako wewe unaesema kwamba mimi ndo mwenye UDAKU SPECIALLY naomba nikueleze kitu kimoja mimi nina blog yangu www.jestina-george.com na inanitoseheleza kwa kila kitu sina haja ya kwenda kufungua blog zingine kwaajili ya kutukana watu kama unavyo dai. Hao mashoga zangu wanaotukanwa huko ni akina nani? Na uliniona nikiwatukana? Hebu nipishe na tusiharibiane siku. Miaka inaendea sijui hata umefanya nini katika maisha yako apart from kuchonganisha watu na kuandika ujinga. Kila blog ina mwenyewe na mimi kuwekewa tangazo langu la biasahra huko na kucomment asante isikupe nguvu za kusema hiyo blog ni yangu na kutaka kuniharibia biashara. Kama unanichukia wapo wanaonipenda so please excuse me. Sipendi majungu na mambo ya kijinga so please excuse me na uongo wako najua uko humo na unasoma huu ujumbe kimya kimya. SPREAD LOVE NOT HATE."


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>