Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HABARI ZAIDI ZA MSANII ALIYEJINYOGA LEO LIVE!!!!

$
0
0

MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie afariki dunia kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR ilioko maeneo ya Kisosora huko mkoani Tanga.
Hapo pichani ni mwili wa marehemu ulivyokuwa ukipakiwa katika gari kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo,
Chanzo cha habari kiliieleza website kuwa msanii huyo alikuwa katika harakati zake za kushut filamu yake mpya ambayo alicheza kama muhusika mkuu katika filamu hiyo.
Kilichowashangaza wenzake ni kwamba filamu iliisha jana Jumatatu 27/01/2014 na story ilimalizikia Vicktor kufa kwa kujinyonga matokeo yake leo alfajiri Victor akakutwa amejinyonga kweli na kuiaga dunia, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijatambulika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Costantino Masawe azungumzia tukio la kujinyonya kwa msanii wa Bongo Movies aitwaye Victor Peter aliyejinyonga leo katika hotel ya Safari junior ya mkoani humo wakiwa location wakirekodi movie.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>