Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

NUH MZIWANDA MZEE WA GANDA LA NDIZI AOMBA MASHABIKI WAKE MSAMAHA

$
0
0
Samahani sana mashabiki na @shilolekiuno kwa kuvujisha huu wimbo bila idhini yake tuliorekodi mda mimi na yeye na ndio sababu kubwa yeye kukasirika mpaka malumbano yooote yaliyotokea'twende sawa na tupendane jamani bila
makwaruzano'mana tuna sababu bilioni za

kujiamini na kupendana pia natangaza rasmi wimbo mpya kabisa wa Nuh Mziwanda na Shishi wimbo mpya kabisa ‪#‎GandaLaNdizi‬ unaweza usikiliza kwa kubonyeza link hapo kwenye Bio yangu ya Blue'nawapenda sana 

BOFYA HAPA KUONA VIDEO MZIWANDA AKIOMBA MSAMAHA 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>