Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ASKOFU GWAJIMA YAMTOKEA PUANI: AULIZWA MALIMAO YAKO WAPI?

$
0
0
Katika Mkutano wa Lowassa Huku Arusha wa Kutangaza nia ya Urais Mchungaji Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo alikuwa mmoja wa Watu waliopewa nafasi ya kuongea..Askofu Gwajima Alipopewa Kipaza Sauti aliwabeza watu wanaomchukua Lowassa na Kudai Wanaokerwa Wakale Malimao Kwani Lowassa ndio Joshua wa Kuwavusha Watanzania Katika Nchi ya Ahadi ...

Sasa watu mbali mbali wanamuuliza YAKO WAPI MALIMAO ULIYOSEMA?
Angalia Video Hapa Akitoa Vijembe Vyake vya Kula Malimao...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles