$ 0 0 ESTER BULAYA AKIWA ZIARANI LEO BUNDA MKOANI MUSOMA.AMEDAI PAMOJA NA VYEO VYA UWAZIRI ALIVYO AHIDIWA ILI ASIHAME CCM AMEKATAA NA KWENDA CHADEMA KUWATUMIKIA WANANCHI.NI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MH STEVEN WASIRA.