Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU

$
0
0
IMG-20150722-WA0001-001
Kajala Masanja akibugujikwa na machozi baada ya kufanyiwa sapraizi hiyo.
Machozi ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika siku yake ya kuzaliwa.
Tukio hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu
nyumbani kwake Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Nuh Mziwanda, Leah Richard ‘Lamata’ na wengineo walifika nyumbani hapo mida ya saa 6 usiku kisha wakajibanza  
nje. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>