Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MTI WENYE MATUNDA:- NA HII NDIO FAIDA KUBWA YA MATUSI YA KIZUSHI KWA THIS BLOG!! THANK U MY SO CALLED BITTER ENEMIES U MADE MY DAY & LOVE U MORE!!

$
0
0

Pageviews by Countries

Graph of most popular countries among blog viewers
EntryPageviews
Tanzania
62656
United States
18303
United Kingdom
17399
Sweden
1363
Canada
1211
Germany
1193
Netherlands
975
Norway
566
Kenya
561
Denmark
316

- Well, U know I am a capitalist by nature ninaamini sana katika ubepari meaning kwamba kila kinachonitokea kwenye maisha yangu hasa negatively huwa ninajaribu sana kutafakari namna ya kuigeuza ili niweze ku-profit out of it.
I mean this week the so called my bitter enemies launched a war ya matusi mazito sana na ya ajabu, wakarusha matusi mengi ya uzushi against me The King Of All Bongo Network Social Media Le Mutuz Big Shoow!!, I backed off na kutafakari kwa makini sana how to respond kwa sababu uongo au uzushi ukiachwa bila kujibiwa hugeuka ukweli. So instead of kuwajibu matusi all I did is to pin point where matusi yamekuwa generated hayakutoka kwa aliyeyarusha hapana ila yalitoka kwa my ex wife na dada yake aliopo hapa Dar na yalikuwa ni hasira za kusikia kwamba ninakaribia kuoa, msichana ambaye ni dogo dogo na mwenye elimu nzito sana na ya ajabu kuliko wao wote combined! i mean kuanzia mleta matusi mpaka walioyatunga, so wakaamua kujibu kwa matusi mazito sana ambayo nimeyaweka kama kumbu kumbu maana it is my biggest insurance mbele ya safari yangu ya maisha. Ila one thing ni kwamba pia nimeyasambaza kwa watu wengi muhimu ambao walikuwa against my new marriage, na sasa wote wamekubali kwamba nipo sawa kuoa tena na sio kurudi nyuma kama walivyotarajia, even though I never even thought of that impossible idea!!

- Getting to my point ni kwamba yale matusi mazito sana na ya ajabu sana in another hand yamaetuongezea sana mapato na matangazo mapya kwa sababu yameongeza traffic in this blog, yaani toka yarushwe tumeongeza visitors karibu 6,000 tumeongeza matangazo mawili makubwa sana yaani Airtel and Google kwa kasi hii sasa tunaelekea kuzuri sana na this game which I love it with all my heart and soul. Ninaomba tena na tena kuwashukuru sana our new and old visitors, I promise you kwamba sitawaangusha this blog is here to stay na haya mafanikio yote tumeyapata in just one year ni yetu wote. Unajua ninafarijika sana ninaposikia kwamba hata the so called my bitter enemies wanashinda na kulala hapa this blog, that is great na ninawashukuru sana kwamba pamoja na uadui wao bado wanazimikia this blog, habari zote ninafikia ndio maana nawajua tena hata kwa majina.

- AGAIN THANK U GUYS, WOTE TUJIFUNZE NAMNA YA KUIGEUZA NEGATIVE SITUATION YOYOTE ILE ILI IWE BENEFICIAL KWETU BINAFSI TULIOKUTWA NAYO, AND THEN TUITAFUTIE JAWABU LA PERMANENT! I WAS BORN I FIGHTER SO I LOVE FIGHTING BUT I ONLY FIGHT NINAPOONA KUNA BENEFITS, LIKE THIS MATUSI THING IT WAS GREAT, MAANA IN THE END IMENIKOMBOA SANA SASA I AM 100% FREE NA MY SO CALLED BITTER ENEMIES. SASA HIVI TUMEANZA KUIKARABATI BLOG KWA UJUMLA ILI TUWEZE KU-FIT MAHITAJI YA WATANGAZAJI WENGI WA BIASHARA AMBAO WAPO PEMBENI WANASUBIRI KWA HIYO NINAWAOMBA RADHI SANA KAMA KUTAKUWA NA USUMBUFU WAKATI WA MAREKEBISHO, YATACHUKUA SIKU KAMA NNE TU ZIJAZO, THANK U SANA MY PEOPLE NA MBARIKIWE ZAIDI NA MUNGU WA MBINGUNI!! - LE MUTUZ

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles