Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ & BONGO:- ONA HAYA MAMBO YA WASANII WA BONGO KUDADEKI WALLAHI!!

$
0
0


 Kumekucha Tarehe 1/12/2013 siku ya jumapili pale TCC club Changombe/Sigara patakua apatoshi ni Bongo Flava na Bongo movie kuonesha ubabe kwenye upande wa mpira na mastairi mbali mbali ndani ya uwanja....
 

Kwa upande wa Burudani ni Mashujaa Bendi na wasanii kibao wa kizazi kipya watafanya yao pia... 

Utaweza kupiga picha na wasanii mbali mbali, kubadilishana mawazo na kila kitu..... yote hayo utashuhudia kwa kiingilio cha shilingi 4000/= tu na unapewa bia moja bureeee......Ni kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 4 usiku..... hiii sio yakukosa mjulishe na mwezako....

Vita za maneno kati Bongo movie na Bongo Flava zimeanza huku upande wa Bongo Flava msanii Rich One amesema lazima amkalishe JB chini, alafu JB akajibu kwa kusema yakwamba asiposhinda hata goli moja siku io atatembea tumbo wazi kutoa TCC club changombe mpaka nyumbani kwake....... Duuu kwanini uadisiwe njoo ushuudie mwenyewe tukio hiliiila kihistoria kwa JB

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>