$ 0 0 Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi.Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya.CREDIT: Michuzi Issa.