$ 0 0 #HABARI Jengo jipya la ghorofa 7 (maarufu kama Jengo la Madawa) lililopo eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam, linawaka moto mkubwa katika sehemu ya kuhifadhia vitu iliyopo kwenye jengo hilo.