$ 0 0 Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu ametaka kufungwa kwa mjadala kuhusu kurudishwa kwa mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye baraza la mawaziri kwani kuendeleza mjadala huo ni kupoteza muda tu kwani Rais Jakaya Kikwete ameshamaliza kazi yake.