Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MSANII AISHITUA MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUJITABIRIA KIFO THE MBURULAZZZ!!

$
0
0

Msanii wa kike Na Mkali kwa Sauti yenye mvuto Mombasani ameshtua watu wengi kwa kuandika...... "leo nimerushwa na umeme kwangu nyumbani.hii nimara yapili kunitoke. ama inamaana kifo changu kitakua cha umeme?." Jambo ambalo liliacha mashabiki wake vinywa wazi na kumtakia hafueni . Kumbuka Ulimi Unauzito!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>