Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ETI ONA HII HABARI MBEBEZ WENYE MACHO YA KUTEGA KAMA UYU WAKIMNASA MAMEN HUCHOMOI WALA HUGEUZI SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0



Sura unayoiona hapo juu ni sura ya mwanamke. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema inakaribiana nayo. Je wanawake wenye sura kama hiyo ni watu wa namna gani…?

Wanawake wenye sura kama hiyo, kwa kawaida huwa ni watu ambao wanajipenda sana na kuamini kwamba ni wazuri, na pia hupenda sana hata kama ni kwa siri kuwapima wengine ili kujua kiwango cha uzuri wao na kama wanawashinda au la.

Pamoja na kujua au kuamini kwamba, ni wazuri, hawana kawaida ya kuringa, ingawa wana misimamo inayoweza kuwafanya waonekane kuwa wanaringa. Wanapoamua kuchagua namna ya kuendesha maisha yao ni vigumu sana kuwabadili.

Ni wanawake ambao wanapenda sana kusimama na miguu yao, yaani hawako tayari kuyumbishwa kwa sababu ya utegemezi. Hata hivyo, wanapopata mahali ambapo wanaweza kupata fedha au mali na wakapanda kidogo hupashika sana, wanajua kushika na wao pia hushikwa, yaani wakipenda wanakuwa kama wajinga.

Ni wanawake ambao wanajitahidi sana kutafuta elimu na wanatokea kuwa na uwezo wa kumudu masomo na hata kufika mbali kielimu. Wanajituma sana kazini na wako huru, yaani hawana kawaida ya kugombea vyeo au kupanda kuliko wengine. Mara nyingi nguvu zao ziko kwenye kufurahia kazi zao.

Ni wanawake ambao hawataki kufungwa na kitu kinachoitwa ndugu au rafiki, kama ndugu au rafiki hao wanaingilia maisha yao. Wanapenda waachwe huru na maisha yao.

Kwenye mapenzi wanapenda sana kushiriki tendon a wapenzi wao, siyo kila mtu. Hii inatokana na ukweli kwamba, ni wachaguzi sana.katika kuwa kwao wachaguzi sana hujikuta wakiangukia kwa wanaume mabomu nap engine wafujaji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>