IJUMAA KAREEM
Hot Lulu Michael |
Christine JM |
hahaaa Lulu mmemsoma naye sio kupiga makelele na kuchosha watu action speaks Louder than words not yarayaraaa |
CEO ndani ya Zara |
uwiii Zara Zara Zara |
kwa karibu zaidi Baby Zara |
uwiiii angalia kilivyosimama kweli kiatu cha bei utakijua tu hata kwa mbali |
Nia na dhumuni langu lilikuwa sikukuudhi na kukufanya utoe kila aina ya msonyo hapo ulipo yes YOU ,nakuona ila imenibidi na pia kuwaonyesha sio mbaya niki share kitu na fans wangu, okay Bye nasema Bye.....
sio blah blah nyingi vitu vinaonekana ktk pic, unaweza ukawa hujui kusoma lakini pic unaweza kuitambua,,, nakutakia kila la kheri ktk weekend inayoanza.....CIAO
Unstoppable
Sintah of all trades
Nothing But Confidence
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe na haujawahi kuanguka
66 comments:
- jessyJanuary 31, 2014 at 7:27 AMOUT OF TOPIC. jamni wema nu msichana wa ajabu sana. Ivi kilicjomfanya kurudi kwenye ie mboo ya City ni nini?? Mwanaume ailshamdhalilisha ila yeye karudi tena jamni mmh.Reply
- Ivi huyu lulu ana ishu gani.mjini manake mmmh. Nwy anamguu mzurii ila sinta mwwnzetu matalo yalp yamennondeka bondekaaa. Miguu nayo utratraa. Ila unakasura flani ivi hakachoshi kuangalia. Hongera kqa ilo.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 7:36 AMwema na zara mbona mkanganyiko jamani mdau hapo juu, ya wema mwachie wema na ya kwako yaache yawe yako, we kibushuti naona umeanza kujipendekeza kwa lulu sasa ili uanze kumuharibia mwenzio. uanguke mara tatu?Reply
- Msukule wa SintahJanuary 31, 2014 at 7:43 AMSintah nawe unapendaga kuwaharibia machakubimbi weekend yao hivyo viatu mbona watatiririka humu mpaka tuchoke kusoma kwii kwii by the way hiyo birthday dinner lako ulitokelezea mbayaa hiyo kitu Zara imekutendea haki sana hapo unyayoni, CEO wangu nawe unakatakonization hapo nakuona tu au ni cha kujibinua kwii kwii mimi penda wewe mingi mingi tu long live ma CEO mwaa mwaaReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 8:19 AMMDAU HAPO JUU SORRY HABARI ZA WEMA ZIMETUCHOSHA. WEMA NAMFANANISHA NA WALE WAMAMA WA KULE KIJIJIN KWETU WANAPIGWA NA KUCHARANGWA MAPANGA NA BADO WANAWAPENDA WAUME ZAO WEMA HAJITAMBUI NA SIKU AKIJITAMBUA JUA LITAKUA LISHAZAMA. UZURI UNAPITA.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 8:38 AMSinta nimekustahi kwa pua isingekuwa pua ningekuumbua. Napiga kimya nyamafu weeReply
- RosiliciousJanuary 31, 2014 at 9:22 AMHeheheheee anony nimeipendaa.namm nimemstahi kwa mdomo kukosa mdomo ningemzodoa..mschewww kaanza na mipicha yake ya mwakajana..cjui uliviazima maana hatuon tenaa picha zingine.khaa!!ucmuingize lulu kwenye mishauz yako fake mfyuuu...Reply
- alafu mbona kama uliblid ukachafua gauni apo pic yako ya 2? alaf rosilicious sikuelewag kam wewe ni team hater or whatReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 10:08 AMwhen i was in college the only nice shoes i could afford at a cheaper price was ZARA i wonder for a grown ass woman like you shouldn't you show off with LB and the such...Reply
KILLER LEGS HOT LULU - AnonymousJanuary 31, 2014 at 10:25 AMsintah ulipendeza hiyo mnamo tarehe june 2013 mwaka jana ulipendeza sana tena sana, ila they way you put it its like una compete na fans wako uwiiii uandishi wa habari mbona haukupendezi,at least share basi hivyo viatu lulu alinunua wapi na kama anaweza kutuazima na sisi pia Umeyataka mwenyeweReply
- mchagaaJanuary 31, 2014 at 10:47 AMwe sinta kunacomment unabana lakini ukwel viatu hivo vipo stand ndogo ar wanavipanga stand tena chini maeneo ya annex! mida ya jionReply
- New positive follower.January 31, 2014 at 10:55 AMUmependeza Sintah ILA ntakupa idea moja. Bandage dresses are tricky to wear. Hata kwa big celebs huko nje wanaface this challenge. Kuna kitu kinaitwa spanx, zinapatikana kwenye maduka ya lingerie. The primary purpose ya hiyo kitu Ni kuweka shape ya mwili exactly how it is supposed to be. Yani kuanzia tumbo, mgongo, kiuno, makalio na hips vinakua located and held firmly. Kimora Lee anavaa hadi spanx 2 ili bandage dress ikae vizuri. Kwa wewe as Una mwili mzito zito nunua spanx ambayo IPO kama skin tight fupi then from kiuno kwenda juu inabana tumbo la chini, la juu then kiuno na mgongo. Mwenyewe utajipenda.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 11:06 AMhyo pic ya pil ni macho yangu hayaon vzr ama mbona km umejbl...a,au ulikalia majiReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 11:30 AMMiguu ya lulu mizuri jamani achana na yalo lol kiatu kimekaa mahali pakeReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 11:37 AMSintah ulipendeza ILA lulu hapanachezea kimemtoa.ningempenda zaidi angesoma huyu lulu.kwa jinsi alivyo hatakiwi kubabaishwa na wanaume alitakiwa awe kapiga kitabu nakaz ya maana halafu huyo mume amfwate akiwa nakazi yake hapo heshima na adabu.lkn unaolewa nauzuri Wako anakuletea bby msupuu zaidi hujasoma hunakaz yamaana umri ushaenda,ushazaa unawatoto patamu hapoReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 12:37 PMHizi ni drama zisizokwisha hapa bongo wekeni na receipt from the store tujue kweli imetoka huko sio mnunue china mjitape navyo kwenye mitandao.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 1:56 PMUshapata mshiko uko Adis eeeeh??? Ukaamua kwenda kununua zara uje utueingishie.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 1:59 PMSinta kwa sehemu uliiyopata na hadhi uliyonayo kwa sasa ungepunguza aya mambo ya show off. Haulingani nayo na hata hadhi ya shirika unalofanya nalo kazi kwa sasa.Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:01 PMHaahahahaaa mswahili bwana!!! Baada ya kupokea mkwanja wa UN ukaamua kununua zara uje kuturingishia. HihihihihiiiiReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:05 PMMmependezaaa sana!!! Ila sinta izo pesa unazopata kwenye iyo mikataba ya mashirika ya kimataifa achaa sasa kuzifanyia dolidoli!!!! JENGA mijengo yako ya maana mjini apa!Reply
Uzee unakaribia bidada usije kufa maskini bure wakat fursa ulizichezea - AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:07 PMWe shangingi wacha mashauzi yako!!! anza kubehave kama mtu kweli anaestahili kufanya kazi za kimataifa!!! .Reply
STUPID!!!! - AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:09 PMNakupenda sinta & na Lulu pia nampenda ...ni mzuri SanaaaaaaReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:13 PMSinta sasa ushaanza kuniboa! !! Unaanza tabia za u-mama mitumba. Akati wewe ni mtu mwenye hadhi yake sasaivi.Reply
Behave kama mtu mwenye masters na anaefanya kazi UN
Usipojirekebisha naenda kukusemea urudi kua muuza nguo za harusi kama zamani - AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:14 PMPleeeeeeeeeeeaaase Sinta naomba usiwe na mashauzi kama yule muuza mitumba utaniboa kwakweliReply
Ila mmenoga - AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:21 PMWatu tunataka umbea!! Hatutaki zara!Reply
Zara zara zara kitu gani???? Mbona mi navaa flat shoe yangu ya mtumba na nnanoga!! Ala! Lete umbea bwana! - AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:22 PMSINTA EMBU TUONDOLEE VERIFICATION CODES! ZINATUBOA BWANAAAAReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:27 PMUsije ikawa mnaturingishia izo takataka zenu kumbe mnabeba sembeReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:29 PMNyie wadada sinta na lulu nawapenda na mmenoga jamani ... mwenye wivu akabebe mlima KilimanjaroReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 2:31 PMSinta kilio chetu ni hizi verifications naomba ziondoe basi kama uunatusikia wadau wakoReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 4:35 PMtukileta umbeya sinta anabana shenzi zako sinta,na huyo mrs johnson lukaza(lulu)Reply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 5:01 PMHow cheap r u to think zara is a brand ya kutupigia kelele au saa za Michael kors za dola 200 stupid woman cheap animalia weka custom made basi gold plated tuelewe mxiuuuReply
- AnonymousJanuary 31, 2014 at 5:33 PMhivyo viatu fake saiv kibao, angekuwepo fakezone angetusaidia kutofautisha.kipi from Zara kwenyewe kipi from copy ya mchina!Reply