- Chadema ni chama cha Upinzani ambacho CCM tunakihitaji sana kuwepo ili tuweze kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kama ambavyo tumekuwa for the last 25 years za uhai wao, hiyo peke yake inathibitisha kwamba they are not a threat to our regime as they claim to be. Chadema wametusaidia sana kuamka usingizini lakini that is what they are good for, kushika dola bado sana na siamini kwamba kuna hata dalili kwamba kuna siku wataweza, especially kwa mwendo huu wanaokwenda nao sasa hivi, ingawa narudia tena kwamba ni wajibu wetu CCM kuwasaidia wasisambaratike kwa sababu ni shetani tunayemjua na huu sio wakati wa kuanza kupambana na shetani mpya iwapo tutawaachia wasambaratike.

- My point ni kwamba nashangazwa sana na Chadema ambao wamekuwa hai kwa miaka karibu 25 sasa lakini bado siasa za Taifa zinawapa taabu sana namna ya kuzicheza, I mean Siasa za Taifa ni timing kwanza na mind games too dhana mbili ambazo zinahitaji sana uvumilivu na subira na ambazo Chadema wanaonekana hawana kabisa. Kwa mfano kosa kubwa la kwanza alilolifanya Mzee Mtei walipoanza la kukimbilia kusaini mkataba Ikulu wa vyama vingi huku wakijua kabisa kwamba Sheria ya Tanzania ni ya Chama kimoja, walikuwa na haraka gani ya kusubiri kidogo tu na kugomea kusaini mpaka Katiba ibadilishwe iweze kukidhi vyama vingi? I mean majuzi wamerudia tena makosa yale yale ya kutaka marekebisho ya katiba huku wakijua kabisa kwamba hawana nguvu kabisa bungeni wakati historia ya Dunia nzima ipo wazi kwamba huwezi kubadilisha katiba huku ukiwa na wabunge 46 tu against majority 280, never haijawahi kutokea katika historia ya kubadilisha katiba Duniani, nchi huwa zinabadili katiba zikiwa na tofauti ndogo sana ya wabunge ndio unaweza kupata nafasi kubwa ya kuchangia mabadiliko ya katiba ama sivyo unaishia kama Chadema, makelele mengi ya bure huku muswaada wa katiba unapita kimya kimya kama ilivyotokea majuzi Dodoma.

- Sasa wamerudia tena makosa yao yale yale ya kutokujua timming na namna ya kucheza National Politics, I mean kama wana tatizo na Zitto walishindwa nini kujipanga na kutayarisha uchaguzi fake ndani ya chama chao na kumchinjia kwenye kuhesabu kura, badala yake wanajaribu kumchinjia na ishu nzito ya Taifa ya mahesabu ya vyama vya siasa, I mean absolutely foolish. Halafu walipokosea kabisa ni kumuingiza na Kitila in the mix hivi nyie washauri wa Mbowe na haya mambo huwa ni nani mbona ni watupu sana kichwani na siasa za Taifa? Kweli unataka kumchinja Zitto halafu unakwenda kumchanganya na Kitila ndani yake are you crazy? Automatically jawabu ni vita against wasomi na vijana chama kama cha Chadema ambacho kimekuwa kikishamiri kwa kutegemea sana misaada ya kisaikologia kutoka kwa wasomi, sasa leo unatengeneza mazingira ambayo yanajisema wazi kabisa kwamba una tatizo na wasomi na vijana halafu ukategemea support kutoka wasomi? Really? Halafu wote wawili sio kabila la Kaskazini angalau Viongozi wenu huko wangejitahidi kuwatupia Viongozi hata wawili kutoka Kaskazini kama kafara tu, mambo yakipoa wanasamehewa na kurudishwa lakini target Zitto ameondoka, I mean mambo madogo tu kama haya yamewashinda sasa mmejiingiza kwenye shimo ambalo litawaacha na majeruhi ya ajabu kwa sababu hata mkipona you will never be the same again,

- I am so disappointed sana na washauri wa siasa huko Chadema sio siri kuwa hawana uwezo kabisa maana wangekuwa nao isingefikia huku, halafu katika hivi vita vyenu sasa kwa mara ya kwanza mmewakorofisha supporters wenu wakubwa sana the Media, kwa mara ya kwanza sasa wanawaandika vibaya they never before sasa mnatokaje hilo shimo? Poleni sana lakini again my appeal to CCM ni kwamba we have to help hawa watu Chadema wasisambaratike it is in our best interest katika kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kuona in the end wanabaki pamoja ingawa tuwape muda kidogo wa kugombana ili tujue maovu yao kwanza maana tumeanza kuyasikia pole pole kwamba tatizo lao kubwa sana ni kwamba hawako vizuri kimahesabu, pole pole kwanza tutasikia na mengine and then ndio tuwasaidie wasisambaratike.


- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz