Wasanii Mwana FA na AY, wanatarajiwa kushiriki katika onyesho kubwa la muziki huko Marekani mwezi mnamo mwezi wa nne mwaka huu.
Washirki wa kimataifa watarajiwa kuwepo katika onyesho hili kama vile, Sean Kingston pamoja na Soulja Boy ambao wanatarajiwa kushiriki jukwaa moja na wakali wetu wa hapa nyumbani MwanaFAna AY.
Colabo kufanyika...Washirki wa kimataifa watarajiwa kuwepo katika onyesho hili kama vile, Sean Kingston pamoja na Soulja Boy ambao wanatarajiwa kushiriki jukwaa moja na wakali wetu wa hapa nyumbani MwanaFAna AY.
Onyesho hili linatarajiwa kufungua milango pia ya kolabo za kimataifa kwa wasanii hawa ambao wana mafanikio makubwa katika sanaa ya muziki Bongo.