Miss Tanzania wa 12 tangu mashindano hayo yaanze nchini Tanzania Faraja Nyalandu Kota Miss Tanzania 2004, yeye aliolewa na mwanasiasa waziri wa
mali asili na utalii Mh Lazaro Nyalandu, sasa leo ndani ya 255 Miss Tanzania wa mwaka 2004 Faraja Nyalandu anafunguka jinsi walivyokutana na mheshimiwa mpaka wakaja kufunga ndoa.Faraja Nyalandu Kota akafunguka anavyojiskia na anacho experience ndani ya ndoa na mwanasiasa.
↧