Kikosi cha polisi wanamaji chatafuta mkalimani katika zoezi la kuwafanyia mahujiano raia 12 waliokamatwa nchini na madawa ya kulevya wakitokea nchini Iran mpaka sasa hawajafanyiwa mahujiano kutokana na raia kutojua kingereza wala kiswahili… Jitihada zinafanyika kumtafuta mkalimani ,,,. hayo yamesemwa na kamanda wa polisi kikosi cha wanamaji Mboje Kanga..
↧