$ 0 0 Nguza Mbangu (kulia) na mwanaye, Papii Nguza wakipunga mikono kwa ndugu na jamaa zao mara baada ya kupanda gari kurejea jela kutumikia kifungo cha maisha baada ya Makahama ya Rufaa kutupilia mbali rufaa yao jana, jijini Dar es Salaam.