$ 0 0 Kuna mtu kaibuka huko Insta na kuanza kumtukana Madam kwenye comment katika picha zake. Team Wema wamechaurakaje na kumchamba huyo annonymous na ndipo Madam akaamua kuwatolea uvivu wale wote wanao mtukana kwa ujumbe huu hapa chini: