"Kumekuwa na maswali mengi kwenye mitandao kutaka kujua kama Azam TV itaonesha mechi ya YANGA? Taarifa kutoka kwa wahusika zinasema kuwa hawataonesha kwani hakuna makubaliano kati ya pande hizi mbili, leo ni mapumziko na kesho Mgambo JKT vs Simba on Azam One na Azam FC vs Ferroviarrio Da Beira on Azam Two.... Mechi ya klabu bingwa Afrika kati ya Yanga SC na Wakomoro haitarushwa na Azam TV.... Tukutane kesho kwenye viwanja vya soka...." - source Facebook