Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WORDS OF WISDOM AND HOPE FROM MY SUPER FRIEND DR. MARIA SARUNGI-TSEHAI AFTER HER LAST NIGHT PRESIDENTIAL APPOINTMENT TO THE CONSTITUION CHANGE PARLIAMNENT!!

$
0
0


"Nashukuru watanzania hususan team ‪#‎ChangeTanzania‬, nashukuru kamati maalum ya uteuzi na ninamshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuniamini na kuona uwepo wangu katika Bunge la Katiba kama sehemu muhimu ya kuwakilisha watanzania. Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kwa kushirikiana na wajumbe wenzangu tunapata maoni na kutimiza kiu ya watanzania kupata katiba bora. Input zenu zinahitajika now then even before. I am truly humbled to be part of the Constituent Assembly and to take part in this historic process of writing a new constitution for Tanzania. So help me God!"


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>