FOR THAT ILINIBIDI KWA MIAKA SABA NIAMKE SAAA NANE USIKU NIENDE KAZINI KUENDESHA MALORI MPAKA SAAA TISA MCHANA NARUDI HOME KULALA MPAKA SAA MOJA USIKU NAINGIA DARASANI MPAKA SAA TANO USIKU, JUMAMOSI NA JUMAPILI NILIKUWA NA KAZI YA PILI AT KFC PAMOJA NA U-DJ KWENYE CLUB DOWNTOWN MT. VERNON NEW YORK: WAKATI NAHANGAIKA HIVYO SIKU ZOTE NILIKUWA NAWAONA WABONGO WASHIKAJI KAZI KUKAA NA KUNYWA MAPOMBE TU NILIKUWA NAWAAMBIA ELIMU NDIO MAMBO YOTE SIO MAPOMBE, NIMEWAACHA MAJUU HAWANA MBELE WALA NYUMA SASA KAZI YAO NI KUNIRUSHIA HATES NA SUMU ZAO KWENYE MITANDAO KILA WANAPONIONA MAANA WANAJUA KUWA WAME-LOST INGAWA WAPO MAJUU, WAMEPIGA SIMU WEEE KUULIZIA WATU WA KARIBU YANGU HUKU BONGO KAMA NIMECHACHA AU NINACHEKESHA HUKU MPAKA SASA WAMEKOMA MIMI NIPO NA NIPO VIZURI U KNOW!! YANASHANGAA MAANA PAMOJA NA MENGINE YOTE YAMESAHAU KUWA NINA ELIMU AMBAYO WAO HAWANA SO HAWAJUI KWAMBA KICHWA CHANGU NA VYAO HATUKO SAWA NA NDILO TATIZO LA WAJINGA NA MBURULAZZZ THE MAZAFANTAZ WOTE DUNIANI THEY ALWAYS LOOK FOR A FIGHT NA MTU ANAYEWAZIDI ELIMU MPAKA EXPOSURE, AFU YANAISHIA KUSHINDWA NA KULIKO KUKUBALI KUSHINDWA SASA YANANISINGIZIA MARA UMRI, MARA MKE, MARA SIJUI CHILD SUPPORT, MARA ANAKAA KWA BABA YOTE HAYA NI KUSHINDWA TU KUKUBALI KWAMBA NINA ELIMU KUWASHINDA SO HATUWEZI KUWA SAWA CAUSE WAO NI NOTHING BUT MBURULAZZZZ!! MWAVICHWA YENU YAMEJAA UGORO THE MAZAFANTZZZ!! AND YES I SAD IT THE MAZAFANTAZZZ!!
- MY PEOPLE POPOTE ULIPO KAMA UNAWEZA NENDA SHULE IT DOES NOT MATTER UMRI WALA LOCATION KAMA UNAWEZA RUDI SHULE CAUSE UKIWA NA ELIMU WASIO KUWA NAYO KAMA HAWA MBURULAZZ UKO MAJUU NA WANAJIFANYA WANA AKILI WANAISHIA KUONEKANA VITUKO NA MAKALIENYE MBELE YANGU CAUSE NI MBURULAZZZZ NIMEYAACHA YANAHANGAIKA KWENYE MABARIDI HUKO MAJUU, UNALIKUTA LIMEKAA MAJUU MIAKA KARIBU 20 LAKINI AKILI KAMA LIPO KIJIJINI BONGO, TATIZO NI MOJA TU HALINA ELIMU NA HALITAKI KUSOMA NENDA SHULE MY PEOPLE KWENYE HAYA MAISHA HAMNA SHORTCUT WENYE ELIMU WATAKUSHINDA TU UTAAANZA KUMLAUMU MPAKA MUNGU BURE, KUMBE ADUI YAKO UKIMUANGALIA KWENYE KIOO UTAMUONA NI WEWE MWENYEWE HAKUNA MTU ANAWEZA KUKUNYANGA'NYA ELIMU KICHWANI MWAKO, NENDA SHULE AU AMUA KUWA MBURULAZZZ KAMA YALE MAJINGA NILUOYAACHA KULE MEMBELEZZZ KAZI KULIA LIA KILA SIKU, OOH KAFUKUZWA, OOG CHILD SUPOORT!! OKKK KAACHA MKE, MKE MY LEFT FOOT!! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!!HA! HA! HA!- LE MUTUZ
- You, Betty Pedersen, Bernard Kazimoto Dickson, Lilian Wa Mourinho and 291 others like this.
- William J. MalecelaNGOJA NIENDE INSTAGRAM MAANA KULE KUNA HAPPEN SANA U KNOW! HA! HA! HA! HA!
- Anthony MtakaNimekusoma Le Mutuzi,UJUMBE MZITO
- Salha DylanSuper proud
I agree shule ndo mpango mzima best - Feisal Pintoinspiring word big up
- Happy JamesCjawahi kucoment lkn leo umenigusa.kula bata ni haki yako maana ulitafutia juani unalia kivulini now.
- Kichuna Wa KimakuaNimelengwa na machozi. Am soooo proud of you kaka. Keep up that spirit
- Kichuna Wa KimakuaUnajua ukifikiri sana...we need haters in our life. Wakuombee mabaya ili uendelee ku count ya blessings. Keep them on board kaka
- Suleiman SereraKeep ahead Comrade, maisha hayo uliyopitia ni darasa tosha kwa wengine wenye nia hasa ya mafanikio. Kupambana na kujiandaa kwa wakati muafaka, wosia mwema kwetu wenye kusadiki!
- Ally HabibuHa ha. !!!!!
- Queeny Zahra Komanya PintoMoving forward,abandoned them bro le mutuz