Kwa wale watu wa ma-gadgets and all that... Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na material yaliyotumika kuzitengeneza, Fahamu zaidi hapa.
1. iPhone 5 Black Diamond - Imebuniwa na mwingereza Stuary Hughes, na thamani yake imekuwa ya juu zaidi kutokana na logo pamoja na home button yake kuwa ni madini ya Almasni na cava lake ni dhahabu, na hii inapatikana kwa kiasi cha dola milioni 15.3, zaidi ya shilingi bilioni 24 za kitanzania.




5. GoldVish Le Million - Hii imebuniwa na raia wa Sweeden, Emmanuel Gueit na imepambwa kwa madini ya dhahabu, special order na inamilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa Russia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi bilioni 2 za kitanzania.





