Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

STRESS FREE LIVE FROM SINTAH JLO WA BONGO BLOG & UGLY FILTERED COMMENTS LIVE!!

$
0
0

KIBONZO CHA JUMANNE....

Genevieve akiongelea jinsi ya kum support
mtoto wa kike
wangekuwa wanafulenge Insta msutano.com
beautiful Gene

Jinsi mastaa wanaojitambua na wenye akili zao namna wanavyo post vitu ista,yaani ukiwa kioo cha jamii kuna vitu lazima jamii ige kwako, sasa ukiwa kichwani zimo una post vitu kama hivyo ofcourse watakuelewa, ila kutuonyesha hela nk oooh God sasa unawatuma watu wakaibe kama watoto wadogo waji squeeze kwenda kulala na watu wazima wapate handbag kama yako, simu kama yako ili muende sawa.

 lets get back to Tanzania ishiiiiii yarayaraaaaa handbags,cloths n hair style,kuonyesha hela,  thank u Lord for my brain , beauty with purpose,,,  ...... either is business or something educative #OneLove

wananchi wenye hasira naomba mnielewe hapa ktk website ni lugha ya kibiashara hata niweke nini naingiza hela, umeshawahi kuniona na post ujinga ktk insta, twitter n fb?? nikiwa kule ndio Christine Manongi, sasa nifuatishe ninayofanya kwenye blog upate la kukupata shaurirooo


  1. sintah naona unajikana si ni wewe ulikuwa unatuonyesha LV handbag original sio chambuchambu? si ni wewe ulikuwa unatuonyesha kidonda original? CL shoes umesahau?Unapoweka posts humu kuringishia usiwe mwepesi kusahau leo ujisifie unaposts vya kuelimisha au biashara...truth be told
    Reply
    Replies
    1. Sema ww akisema peppino mdaku..
    2. Long live ma CEO Sintalicious busara zako ziheshimiwe umeongea truth kabisa asielewa avae miwani Sintah ni role model wa ukwee kioo cha jamii tumekuelewa mamii tupo pamoja mtoto wa mwanamke mwenzako ni someone's daughter ndio mmeshaambiwa msianze kuchonga humu na akili zenu mgando na nyie ni someone's daughter vile vile
  2. Me sijaelewa mbona na we ndo zako kutuonesha poch vidonda, jiwe limekupata mwenyw
    Reply
    Replies
    1. eehh ukisikiaga watu wanafeli mitihani ndio nyie umesoma ukaelewa ulichoambiwa au umekurupuka na kujibu? rudia tena shouger kakwambia haweki hapo mapochi insta sio kwenye blog khaaa kichwa kigumu kama nazi ya Lindi
  3. Kweli, kuringishia doli doli, kidonda changu.....tuache.........
    Reply
  4. Em acha usinambi Sinta. Wewe unavyitupostia vitu kwa madai yako nioriginal mara pochi mara nini huoni kama uta7bisha poa vibinti kuuza K iliwavipate na wao???
    Reply
  5. Leo kina ndalandefu kama rosilicious umemuacha sanaaaa. lugha gongana ha ha haaa.
    Reply
    Replies
    1. Unakunywa soda gani ndito?
  6. Hahaa!!! Andunje umepost hii kitu ukiwa umelewa nini?Hizi mambo za kujisifia ujinga mbona wewe ndo kiongozi wao?Au kuna mtu kakupostia?Najua hii utatupa kapuni ila ujumbe umeupata.
    Reply
  7. sasa wewe una tofauti gani na hao unaowasema? kutwa kujisifia na hayo mangwanja ngwanja sijui miwani mara saa mara designer handbag!!!! ushuzi mtupu vichwani mmebeba funza badala ya akili!!! wewe na hao wenzio wote hovyo kbsa!!!! mkitaka tuwaone wa maana mtuonyeshe viwanja na mambo mengine ya maana
    Reply
    Replies
    1. awena na hilo jina unaonekana mswazi kweli kweli umeelewa post lakini? au ndio umeshavalia kanga yako ya mchina uko kibarazani unaelekea ngomani
  8. Kweli nimeamini Sintah hauna akili hata kidogo. Haujielewi.
    Reply
  9. Wap ww,hamuezi acha asili Wapare mnapenda sifaaaaa
    Reply
  10. hebu kwenda nawewe sintah niwalewale kasoro tarehe tu.muache mashauzi nyoooo.mara uweke saa,LV nyoko cjui nini nakatika watuwasiojielewa nawe upoo.mnawataman ma star wa Nigeria eeh mtasotasana wanahela sasa nyie uzeni nyapu tu na unga.bania tu mbilikimo wewe
    Reply
  11. we unaongea nini mbuzi ww unatufanya sisi watoto wadogo ama??? huna adabu huna akili huna muelekeo limbukeni mnafiki mkubwa wewe uswahili tu umekujaa ndomana huna maendeleo na utadharaulika mpaka siku yako ya kufa shauri ya tabia yako ya kutojitambua na kuropoka ropoka kama mwanamke Malaya mlevi wa vilabuni kijijini
    Reply
  12. SINTA wewe ndie bingwa wa kupost mad za kijinga kujisifia , mara kuonyesha mabuti kama mgambo, kidonda, LV original, mapumziko hotelini nk,.... huu ni ulimbukeni tumieni mitandao vizuri,,,, nadhani mnaojiita mastaa wa bongo bado UMASKINIi na UJINGA unawasumbua sana.... hata kama sisi bongo ni maskini we need to be hamble and fell that we are responsible to our society... shame on you sintah na wenzio wenye tabia ya kujikweza.. mnawatamanisha wadogo zetu wanashindwa kuwa focused kufanya kaz kwa bidii na kusoma badala yake wanaanza kazi haramu kama kuwa punda, kuiba, mini kabaang and many more.....
    Reply
  13. Ina maana serikali yetu imeshindwa hata kufundisha vijana wa kichaga wa pale Marangu juu kucheza na ile snow ya mlima Kilimanjaro tupate wawakilishi wa Winter Olympic huko Sochi? tutaangalia wenzetu tuu mpaka lini wakati uchumi tunao tumeukalia mwee inasikitisha na nyie wachaga hamkuona huo mchongo?
    Reply

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>