Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK STRAIGHT ON SUPER STAR ROSE MUHANDO MISERY LIFE!!

$
0
0
 
 
 
 
 
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-JUZI SIKUSOMA KWA MSHANGAO HABARI ZA KUKAMATWA KWA SUPER STAR GOSPEL SINGER ROSE MUHANDO, LOOKING BACK AT HER HUWA NINAJIULIZA HAWA KINA MAMA NA HIZI NGO HUWA WAPO WAPI KUSAIDIA WANAWAKE KAMA HUYU STAR, MAANA ANA MATATIZO MAKUBWA SANA NA HUYO MENEJA WAKE AMBAYE KWA MANENO YAKE MWENYEWE ROSE USO KWA USO ALINIAMBIA MATATIZO MENGI SANA ALIYONAYO  MOJA WAPO LIKIWA MPAKA KUMBAKA MARA NYINGI SANA, LAKINI NILIPOAMUA KUFUATILIA HER ISHU KWA KARIBU SANA NIKAAMBIWA NA WANAOMJUA KWA KARIBU SANA KWAMBA NI MUONGO: MARA KADHAA NIKIWA NAYE I HAD A FEELING KWAMBA HUENDA ANATUMIA SEMBE, NIKAMUULIZA MDADA MMOJA ANAYEMJUA KWA KARIBU SANA NAYE AKANIAMBIA SIO KWELI SO I DROPPED THE ISHU PALE PALE: HOWEVER ONE QUESTION I COULD NOT GET OVER NI A SUPER STAR LIKE HER KUFIKIA KUOMBA HELA NDOGO KAMA LAKI MBILI MPAKA MACHOZI YANATAKA KUMTOKA IT WAS A SHOCK AMBAYO MPAKA LEO HAIJANITOKA AND THEN JUZI TUMESIKIA AMEKAMATWA NA KUPELEKWA POLISI AKIWA NA MATATIZO NA MENEJA WAKE, SO THIS THING CAME BACK TO HAUNT ME KWAMBA SOMETHING IS NOT VERY RIGHT HERE NA SOMEBODY GOT TO DO SOMETHING!!,
- THERE IS NO QUESTION ROSE MUHANDO NI BEST EVER SUPER STAR THIS NATION HAS EVER PRODUCED, YEYE NA DIAMOND NI JUST ANOTHER LEVEL LAKINI SOMETHING IS WRONG NA MAISHA YA ROSE NA MENEJA WAKE NA SOMEBODY IS GOT TO DO SOMETHING ABOUT IT AMA SIVYO KUNA SIKU TUTASIKIA MAZITO SANA KUMHUSU AND THEN  TUTAAANZA KUALAUMIANA NA KULALAMIKA OF WHY I DID NOT DO SOMETHING NA MIMI NILIWAHI KUSIKIA ANA MATATIZO, UKISOMA MAGAZETI YA JUZI ALIKAMATWA KARIBU YOTE YANASEMA WAZI KWAMBA HATA KAMPUNI YAKE YA SASA SONY WANAJUA KUWA ANA MATATIZO LAKINI WALIAMUA KUTOJIHUSISHA NAYO, SIKU NILIPOKAA NAYE CHINI TULIONGEA KAMA MASAA 3 AKASEMA SUPPOSEDLY EVERYTHING LAKINI WANAOMJUA ZAIDI YANGU WAKANIAMBIA NI MUONGO HANA LOLOTE, NOW MY TAKE NI KWAMBA EITHER YEYE NA MENEJA WAKE NI WASANII WA AJABU, AU YEYE ROSE NI MUONGO WA AJABU AU ALIYOYASEMA NI KWELI TUPU NA ANAHITAJI MSAADA: MIMI NINASEMA HIVI ALL AND ALL SOMEBODY NEEDS TO HELP HER ANAHITAJI MSAADA MKUBWA SANA CAUSE SOMETHING IS VERY WRONG NA MAISHA YAKE NA I HOPE KINA MAMA MTAJITOKEZA KUJARIBU KUMSAIDIA, MUIMBAJI MKUBWA KAMA YEYE ALITAKIWA KUWA BIGGER THAN WHAT SHE IS NOW NDIO MAANA NINAMSIFIA SANA DIAMOND CAUSE HE IS DOING THE RIGHT THING SANA INAPOKUJA KWENYE KU-LIVE THE SUPER STAR LIFE NA IN THE PROCESS ANAWEKA MFANO KWA WENGINE WAJIFUNZE!! ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE BIG SHOW
Photo: @ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- JUAZI SIKUSOMA KWA MSHANGAO HABARI ZA KUKAMATWA KWA SUPER STAR GOSPEL SINGER ROSE MUHANDO, LOOKING BACK AT HER HUWA NINAJIULIZA HAWA KINA MAMA NA HIZI NGO HUWA WAPO WAPI KUSAIDIA WANAWAKE KAMA HUYU STAR, MAANA ANA MATATIZO MAKUBWA SANA NA HUYO MENEJA WAKE AMBAYE NIMEAMBIWA KWAMBA AMEKUWA AKIMBAKA KINYUME NA MATAKWA YAKE KWA MUDA MREFU SANA NIMESIKIA MENGI YA KUTISHA NA YA AJABU KUHUSU ROSE KUONEWA NA KUNYANYASWA NA HUYO MWANAUME LAKINI IN THE END BADO WANAKUWA PAMOJA KWA SABABU ROSE HANA MTU WA KUMSAIDIA, UKISOMA HABARI YAKE YA JUZI MAGAZETI KARIBU YOTE YANASEMA WAZI JINSI KILA ALIYESIKIA HABARI ZAKE ZA AJABU ALIVYOZIACHA KAMA ZILIZVYO, WHY? MARA YA MWISHO NILIKAA CHINI NA ROSE FOR 3 HOURS ALIYONIAMBIA MPAKA NASIKIA NAGHTMARE PLEASE JAMANI WAKINA MAMA MSAIDIENI HUYU DADA ANA MATATIZO MAKUBWA SANA!! - AIDHA YEYE NA HUYO MENEJA WAKE WOTE NI WASANII HAWASEMI UKWELI AU ROSE SIO MKWELI, AU ROSE ANASEMA UKWELI LAKINI SOMETHING IS NOT RIGHT KWA SUPER STAR KAMA ROSE MUHANDO KUOMBA SHILINGI LAKI MBILI KWA SABABU HANA NO WAY! KINA MAMA JITOKEZENI KUONGEA NA HUYO MDADA SOMETHING IS VERY WRONG NA RELATIONSHIP YAKE NA HUYO MENEJA WAKE!! I HOPE SOMEONE WILL TAKE STEP AND TRY TO HELP HER ILA AN MZIGO MKUBWA SANA WA MATATIZO!! - LE MUTUZ

  • Samatta Kamtoimmmmmhh™™™™!!!!
  • Negwako AD MwasanyulaYaani anashindwa kumpeleka polisi kweli? Wapi TAWLA.
  • Benedict LugiyeHii kali, Huyo meneja wake sio Alex Msama ambaye anajiita mtumishi wa Mungu? Au mimi ndio nimekosea?
  • Dennis MpendaMunguWHat!!! Wakati msanii anayeimba Nyimbo za Injili mwenye hela hapa nchini ni Rose Mhando.
  • Khadija KuziwaSasa c atafute mwanashelia na amwambie yooote yanayomsibu.atampa mwongozo mzuri.sasa huyo meneja anamahusiano ya kimapenz au.kama ni hvyo wanalaana.sasa anaimba injil ya nn.c unafik huo.
  • Prince MakoyKhadija kuziwa eti rose muhando kafanyaje
  • Fatma MarijaniStill cjaelewa una maanisha nini maana najua huyu dada ni ana hela kuliko kumbe anabakwa tena jamani
  • Mngoni HalisiMajaribu hayana budi kuja ila ole wake mtu yule ayaletaye.... MUNGU ni mwema naamini... Ni hila tu ya ibilisi ila Ni wakati tu anapitia na atavuka kwa kuwa tunaye baba wa haki naye ni YESU Kristo, Mtetezi wa wanyonge... Rose Muhando dada yangu... Jipe moyo Tazama neno linasema nini usitazame binadamu wanasema nini.. Huyu anayekuangusha sasa yawezekana ndo anakuvusha kutoka sehemu kwenda sehemu. Me ninachojua ni kwamba Yeye amtumaniaye MUNGU, Bwana hatomuacha aaibike, Mamlaka tunayo, Silaha za kupambana na mwovu shetani tunazo. Wewe ni wa thamani mbele zake aliye juu... Amelaaniwa azitegemeaye akili zake mwenyewe.....Mtumaini MUNGU kwa kila jambo... Mtangulize yeye kama wimbo wa Uvumilivu ulivyosema... Yeremia 32:26 ndio key ya kukutoa hapo ulipo @ Rose Muhando
  • Jane Chichi Nyagwegweshetani hana mipaka, ila kwenye neon la kweli uongo huwa hauna nafasi. Wasanii wengi wamekuwa wakiimba kwa lengo la kutajirika. Najua Mungu anatukuzwa navilevile tunamahitaji ya kimwili ambayo yanahita kutumia vipaji vyetu kujisaidia. Ninpenda sana nyimbo za huyu dada. Tunamuombea sana apewe hekima za kumtukuza Mungu kimungu na aachane na ya kidunia...ulimwengu umeendelea sana, hata kijijini kwetu huko kowaki nasikia kuna child support na wanaume wapelekwa jela kwa kupiga wake zao. Kwanini hasipromote her own things na uwezo mkubwa alionao. Its always another side of the story.
  • Agness JonathanI don't think so
  • Irishadi BikongoroUyo atakuwa msama alex ndo mwenye tabia za kuwafanyia hvyo tena hasa wafanyakazi wake.anajifanya mtumshi aliyokoka kumbe mbulaaz.
  • Agness Jonathankwani Rose haijui sheria or haki zake?
  • Stellah OliviaApna c alex msama, coz msama ajawai kummeneji roz@irishadi
  • Jahida Mamaake Ivanpole kwake ila kama story sijaielewa vizuri but ntamuweka kwenye maombi na Mungu atamsaidia!! nampenda sana Rose Mhando.
  • Andrew MbomaSo sad! Akumbuke alipoangukia arudi akatubu. Mungu ni mwaminifu atamsamehe na kumpa nafasi nyingine. Nyimbo zake za mwanzo zilikuwa na upako lakini zilizofuata zina michanganyo!
  • Stella Kissinganjoo kwangu "Rose"niwe manager wako,tutengeneze chapaa...kama tz hawakuthamini,kwingine unathamani.
  • Kichuna Wa KimakuaNO BEEF HAPA: Kaka William J. Malecela nafurahia aya yako ya mwisho. Wewe kakangu unahuruma sana ila humjui vema. Mie nimeishi naye jirani I know her very well. Hata mkijua kwa nini kanisa lilimnyang'anya gari mtaelewa. HUYU DADA NI MWONGO NA DHULUMATI OF FIRST ORDER. simchukii na huwa namtuma dada mmoja ambae ni jamaa yake ...namtumia ujumbe wa kubadilika. Najua meeeengi sana juu yake ila si sahihi kuyaweka hapa.mHASTAHILI KUHURUMIWA huyu. Hayo anayosema anabakwa siamini. Ukibakwa unakuwa sooo depressed sasa yeye amemwacha meneja cum bwanake na kuchukua dogodogo halafu sisi tuamini anabakwa? Anaeleza nini hapa? Kwani nyie wa Dodoma hamjui? Jamani, Myasikiayo si Tuyaonayo. She needs help ya wataalamu wa Afya ya Akili. Kuna myu (mwanamke) ndie alieombwa na SONY kumsaidia Mdada huyu kwa sasa. Labda jamaa kang'amua kuwa Mwanadada aki settle na Sony atakuwa Billionaire. Na huyo ni mume wa mtu si atafute mwingine amchune? Mana kwa Huyu mdada kachuma nyumba nzuri mnooooo. WAJINGA + WAONGO ndio waliwao
  • Kichuna Wa KimakuaNasimama pale pale niposimama siku zote kuwa NAHESHIMU SANA SANAA YAKE MANA HATA NIKIMCHUKIA...ANA KIPAJI KIKUBWA....HALIPINGIKI. Na pia nasema what goes around come around. Kuna mengi siku moja nitakayoongea nawe brother ntakapokuja kwako nitakuambia. Miaka miwili iliyopita ulikuwa Moshi kwa holiday kule Kiborloni ukawa na Huyu mdada kanisani, ukapost ukamuhurumia.Nika kwambia we humjui huyo mwongo saaaana. Hukunielewa sijui? Mwombee tu mie najitahidi kumshawishi mtu fulani rafikie alisoma Milembe waende nae kule. NO BEEF
  • Kichuna Wa KimakuaNegwakoAD Mwasanyula nimependa swali lako. hawezi kumpeleka polisi kwa kuwa huwa wanacheza deal pamoja yeye na huyo jamaa..na wanaenda wote police kuwageuka watu na kuwadhulumu. Nyie ngojeni ninyamaze. Hii ni lost case
  • Kichuna Wa KimakuaTukumbushane: ; huyu dada si mlokole ila anampenda tu Yesu. Hayo ni maelezo yake mwenyewe
  • Mlawa ZahirWe siungemsaidia chakufanys kama alikwambia anabakwa!ibila yeye kuripoti sehem husika hawezipata msaada ,mmmmm
  • Kichuna Wa KimakuaNdugu yangu Mlawa Zahir....umesoma comments zangu? Nakwambia huyo ni mwenyeji saaaana hapo Polisi toka enzi ya OCS Shana. Hapo kama hamwelewi kuna issue za mahaba NITEKETEZEEE pmj na mengine yote. Mie huwa sisogeleani nae as sipendi kumpa time mtu asie mkweli
  • Kichuna Wa KimakuaFatma Marijani haya ndio tukumbuke kuto ku judge kitabu kwa cover yake
  • Pacolocal MochaaThe hadith doesn't make sense either kateja kiaina Au attention sicker. Kama kabakwa aende police na kushtaki na Kama anazua, she needs physiatic attention.
  • Fatma MarijaniNo comment hiyo ni laana yake ama kweli sio wote wanaosema bwana bwana watauona ufalme wa Mungu.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>