Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

CHEZEYA BONGO WEWE HII NDIO DOWNTOWN BONGO TAMBALALEZZZ AFU HII NI JANA LIVE NGOJA SASA MABASI YA MWAKYEMBE YAANZE VURUGU HAPA MUJINI WALLAHI APATATOSHAZZZ!!

$
0
0

Hapa ni Posta Mpya Jijini Dsm asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014,Watanzania wapo kwenye pirikapirika za Kusaka Riziki ya Kila siku.
 Naam,Vikwangua Anga Vinaongezeka Kwa kasi hapa Dsm,Nyuma ya Jengo la NMB HOUSE Posta Mpya kuna Vikwangua Anga Viwili Vimeshapandishwa.
Yes,hapa ni Mtaa ya Maktaba kuelekea Mtaa wa Ohio na Posta Mpya Jijini Dsm.
 Mkapa Tower Posta Mpya.
Picha imepigwa Nikiwa Upande wa Jagwani,Kwa Mbali ni Ghorofa za Kariakoo zinajengwa Kwa kasi sana.
Ujenzi unaendelea wa barabara za Kisasa za Mabasi yaendao kasi,Hapa ni Magomeni Mapipa.
 Jengo la Kwanza linaitwa Uhuru Freights na Jengo la Pili ni VIVA Towers Makutano ya Barabara ya Ohio na Kuelekea Salenda Brigde Road.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>