$ 0 0 Taarifa zilizosemwa na rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni kuwa yupo katika hali mbaya zaidi na kufikia hatua ya kulazwa katika hospitali ya Agha Khan akisumbuliwa na Malaria.Get well soon Irene....