Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MAJANGAZ:- SHEREHE ZA KUFUFULIWA NA KUZIKWA UPYA ONA HAPA LIVE!!

$
0
0

corpse-new-clothes


wafu
Kuna makabila na tamaduni nyingi nchini Indonesia, lakini hii ni tamaduni ya kipekee, ya kushangaza na kuogopesha. Tamaduni hii hujulikana kama sherehe ya kufufua wafu na kuwapeleka kwenye makazi yao ya kudumu.

Watu wa Toraja, Indonesia huamini kuwa mtu anapokufa huanza safari ndefu kuelekea kwenye hatima yake, hivyo kuna vitu ambavyo lazima vifanyike kumsaidia kwenda na kufika salama, ambavyo huhusisha gharama kubwa. Kutokana na gharama kubwa za mazishi hayo, jamii nyingi hulazimika kuzika wafu wao katika majeneza ya muda, mpaka baada ya zoezi la kukusanya pesa kwa aliji ya shughuli ya mazishi kukamilika.
Kwakua ardhi kubwa ya maeneo ya Toraja ni milima, na hivyo kufanya zoezi la kuwabeba wafu hao kuwa gumu, jamii huamini kuwa wafu hao huweza kwenda wenyewe kwa kutembea kwa miguu wakisindikizwa na ndugu zao. Baada ya kufika kwenye makazi yao, inasadikika kuwa wanakufa tena, ndugu zao huwaosha na kuwavalisha nguo mpya na kisha kuwazika tena.
Kwa siku za hivi karibuni, tamaduni hii imeanza kupotea kwa wakazi wengi, japo kwa watu wachache wanaoaminiwa na wazee wao kwamba wanaweza kurithi tamaduni hii, bado wanaifanya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>