@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- SOMETIMES HUWA NINAAMINI KWAMBA BAADHI YA MABEBEZ MGANGA WAO NI MMOJA AMEKUFA, AU AMESAFIRI LOLIONDO KWA BABU HAJARUDI: MWANAMKE NA NDOA YAKO YA MIAKA 16 NA WATOTO WAWILI SIKU MOJA ANATOKEA MWANAUME FACEBOOK ANAKUDAGANYA ANAKUPENDA NA HANA MKE, UNAVUNJA NDOA YAKO KISA MWANAUME WA FACEBOOK, UMEKUJA KUGUNDUA MWANAUME NI MUONGO ANA MKE NA WATOTO WAWILI, BADO ANAKUDANGANYA HAMPENDI MKE WAKE NA WEWE UNAKUBALI TU ETI MY FIANCEE, SASA MAMEN AMEKUWACHA ANAENDELEA NA MKEWE NA WATOTO WAKE, SO UMEDATA!!
- THERE YOU ARE, NDOA YAKO KAPUTI WATOTO WAKO HAWANA BABA UMRI WAKO MIAKA 47, UNAHANGAIKA KUMLAUMU KILA MTU LAKINI SIO WEWE SAD STORY LAKINI IT IS A GREAT LESSON KWA WENGINE, UMEZUNGUKWA NA MARAFIKI MABEBEZ AMBAO WAUME ZAO NI BURE KABISA LAKINI HAWAWAAACHI ILA WAKAKUDANGANYA WEWE UKAVUNJA NDOA, HA! HA! WALLAHI ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE HUFUNZWA NA DUNIA, NA KWENYE MAISHA TUNAVUNA TULICHOPANDA HUWEZI KUPANDA MAHINDI UKAVUNA MIHOGO, JAMANI ASUBUHI NJEMA!- LE MUTUZ
- THERE YOU ARE, NDOA YAKO KAPUTI WATOTO WAKO HAWANA BABA UMRI WAKO MIAKA 47, UNAHANGAIKA KUMLAUMU KILA MTU LAKINI SIO WEWE SAD STORY LAKINI IT IS A GREAT LESSON KWA WENGINE, UMEZUNGUKWA NA MARAFIKI MABEBEZ AMBAO WAUME ZAO NI BURE KABISA LAKINI HAWAWAAACHI ILA WAKAKUDANGANYA WEWE UKAVUNJA NDOA, HA! HA! WALLAHI ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE HUFUNZWA NA DUNIA, NA KWENYE MAISHA TUNAVUNA TULICHOPANDA HUWEZI KUPANDA MAHINDI UKAVUNA MIHOGO, JAMANI ASUBUHI NJEMA!- LE MUTUZ
- You, Queeny Zahra Komanya Pinto, Mponda Hamidu, Laurian Bahuta and 560 others like this.
- Linus MwanambilimbiGive them facts of life brother
- Kichuna Wa KimakuaNgoja kwanza....kaka umesema maneno meeengi halafu kama am kind of lost...waaaiiiiit....am still digesting and Loading all together! Mweee.....fasibuku jamani.....Loaaadddddiiiiing
- Maki Shokikweli tupu! na asiyesikia la mkuu huvunjika guu! good morning le mutuz!
- Jackson KiwiaMajanga bro
- Veronica CharlesUko sahihi brother Asilimia 99% wanaume wa FB ni matapel...........wanawake akili vichwani mwetu.....
- Saidi MmbagaWord!
- Helieth Eliabi MagalaJamani sio 99% hakuna mume Facebook Bwana ni washenzi tu akili tu mtumie wanawake,tamaa tamaa hizi hazina maana.
- Cate PhinFact bro
- Aneth Lukas WilliamHii kali
- Subi MahundiFacebook loading ggggggg
- Upendo Linda MchattaLeo umejua kunichekesha lakini kweli duh watu machiziiiii.
- Leah Chrissykha majanga haya message imefika na imeeleweka Le mutuzi teh
- Jacqueline MakobellaHuyo ni mburula
- Subi MahundiMsg sent and delivered
- Hawa AthumaniNomaaaaaaaaa aitatokea
- Kichuna Wa Kimakuamwanamke miaka 47? mmm kweli huyo ni kati ya wale wanaoachaga kichwa nyumbani...jinga kabisa
- Lilian Ernestngoja nipite silent hapa
- Hawa MnyasengaTeh teh..mwe!!
- Joel Elia Mwangaee hiyo miaka sasa Sasa ndio naamini watu hudanganyika kirahisi sana na baadaye akishapata majanga anaanza kujilaumu "laiti ningelijua". Can smay be aipunguze ili apate baby mpya hahahaha @ William Malecela
- Pacolocal Mochaa99% FB men's are fake and 100% women's are on top of the games. Fake, delusional, easy come easy go and top of that some of you are expired and waisted.