@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- JANA NILIKUWA DODOMA KUWAPELEKA INVESTORS TOKA SOUTH AFRICA KUONANA NA MAWAZIRI MBALI MBALI AKIWEMO HUYU HAPA PICHANI WAZIRI WA AFYA DR. SEIF AT WIZARA YA AFYA DODOMA, HAWA NI MATAJIRI WAKUBWA WANAOTAKA KUSAIDIA SEKTA MBALI MBALI NCHINI NA NIMEWAJUA THROUGH HII HII MITANDAO,
- MY POINT NI KWAMBA TUNAWEZA KUITUMIA HII MITANDAO YA KIJAMII KWA FAIDA YA TAIFA NA ZETU WENYEWE AU TUNAWEZA KUKALIA UMBURULAZZZ NA KUJA HAPA KURUSHA RUSHA MANENO YASIYO NA FAIDA KWA MTU BINAFSI WALA JAMII, NINARUDIA TENA WANANCHI WA TANZANIA KWENYE HII MITANDAO KUMEJAA MAMBO MENGI SANA MAZURI KWA MFANO MAJUZI NILIKUWA WEST AFRICA, KULE NIMEENDA KWA SABABU YA KUKUTANA NA WAWEKEZAJI KUPITIA HII HII MITANDAO, JAMANI WABONGO TUAMKE KWENYE HUO USINGIZI MZITO SANA TULIOLALA WA KUDHANI MITANDAO NI MAHALI PA KUJA KUONYESHA UJUZI WA MATUSI NA KUBISHANA KUHUSU VYAMA VYA SIASA ASUBUHI MPAKA SAA YA KULALA, KUMBUKA SISI TUNAENDELEA KUITUMIA MITANDAO HII HII KWA FAIDA YETU BINAFSI NA TAIFA, HALAFU UTAKUJA KULALAMIKA KWAMBA TUMEBEBWA NA MAJINA, SIJUI TUMEBEBWA NA CCM, KUMBE NI UMBURULAZZZ WAKO MWENYEWE WA KUTOTAKA KUJISHUGULISHA KUFIKIRI KIDOGO TU AU KUULIZA KWA WALE TUNAOJUA NAMNA YA KUITUMIA MITANDAO YETU, JAMANI MCHANA MWEMA!!- LE MUTUZ
- You, Wyson Millese, Masanja John Kanyasu, Edith Godwin and 3379 others like this.
- Ladislaus BlacyHivi kuna mburura kama wewe dunia hii?!!
- Hasan MvungiLe Mutuuuuuuz! Swadakta uliyosema nakubaliana nawe 100%. Kuna watu wanadhani njia pekee ya kumkosoa mtu ni kuvulumisha mitusi! Sio sahihi kabisa.
- Dickens Ziro StephenWe jamaa una kipaji cha ajabu sana.. Nimepita.
- George Zachayo Mollelkumbe wewe ni mjanja kaka willy sometime ukitulia!
- Degwa DegwaPenye ukweli sema tu
- Isaac DirangwUlaji huo
- Nelson Mmarihahahahaha yaani unaongeza wezi!
- Cocu BatengaNaamini na kukubali
- Stephen Ntinginya Choiumefanya kitu cha kupongezwa na jamii na serikali,hao wawekezaji waje na matarajio makubwa kwa wananchi sisi na mwisho hatuhitaj title kubwa tuelekeze njia zip kufikia hiyo title ya hadhi yako kama unataka na sisi wengine kwa profesional zetu tupige hatua yako@Le Mutuz.
- Bernard Luzigernakuekewa.
- Mary BishangaSafi sana hongera kwa hilo Le Mutuz Baharia
- Ley Sebastianbg up
- Peter TemuBig up sanaaa!! hayo ndo mapoint ya kupost. safi sanaaaa, pole pole wataelewa. wasi wasi wangu wasije elewa very late.
- Musa Ntabusinimeipata hiyo point! ukwel utakaposhinda,sisi wote ni mashuhuda,umetuamsha sana mkuu! heshima na pongez kwako....!
- Wìsèmàñ FìçkýHao wamekuja kuiibia nchi, hakuna mwekezaji anayekuja kutuneemesha bila kuangalia yeye faida kwanza. Siamini kwamba uwekezaji holela ndio suluhisho la matatizo yetu! wameshakuja sana na watakuja ila hali mbna inazidi kuwa mbaya kwa watanzania wengi
- Mussa AbdallahACHANA NA LE MBURULAAZZZ.....
WAO WANAPENDA KULA MABATAZ NA WATOTO WAKAREEEEZZZZ .. - Tano-Aisha Mwera MadafaPicha inaonyesha kama Dr Seif hakuwa interested kuongea na hao so called investors
- Wyson Milleseumesema kweli,napongeza
- Victor Genesis MmbagaNama umeitumia fursa ya bunge la katiba vzr,kupiga mishe za ten% hongera.Wenzako wanaiba cm humo humo mjengoni.Mainvestors wanajisikiaje unapowaambia hao wakubwa wanapitiana mpaka laptop.
- Norasco Mulenziwe mtu makini natamani siku moja nipate fursa ya kukuona.
- Mwanaisha Mjengihayo ndo mambo ya Le mutuzzzzz
- Mariam Kidesumzee umekaa kama unafukuzia ten percent vile #mtazamo tu