Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HUKO MWAKA-INSTAGRAM LILE BIFU KUBWA LILILOANZA JANA LAZIDI KUSHIKA MOTO ONA LEO KILICHOJIRI LIVE!!

$
0
0
Kwa kitendo cha jana kilichotokea cha fan page ya ka facebook ya Kala Jeremiah kumponda na Diamond na kumsifia Ally kiba na mwisho wa siku kuhusisha maswala ya mikopo. kama hukuisoma post hiyo itazame HAPA. Leo kupitia akaunti yake ya instagram kalla afunguka meni na kusema haya

Nanukuu alichokisema Kalaa Jeremiah "dUNIA HAINA USAWA. KUNA WATU WALIIBA PAGE YANGU YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA LA KALA JEREMIAH NA INA PICHA HII. MATAPELI HAO WAMEKUWA WAKIITUMIA PICHA HII KWA LENGO LA KUNICHAFULIA JINA.WAMEKUWA WAKIWEKA MATANGAZO YA MIKOPO NA SASA WAMEAMUA KUWEKA TANGAZO LAO LA MIKOPO KWA KUTAJA BAADHI YA MAJINA YA WASANII WAKUBWA.poleni sana wana mlioguswa na sakata hilo NILISHATANGAZA KARIBU KILA REDIO YA TANZANIA KUHUSU KUIBIWA KWA PAGE HII NA KUWA INATUMIWA NA MATAPELI.LAKINI KUNA BAADHI YA MASHABIKI WANAHISI BADO NAITUMIA MIMI MWENYEWE. NAOMBA UNISAIDIE KUSAMBAZA UJUMBE HUU.NA KAMA MTU ANATAKA KUNIPATA FB NILIFUNGUA PAGE MPYA YA FB INAYOITWA KALA0444 AU UNAWEZA UKA CLICK KWENYE LINK HAPO KWENYE BIO YANGU.WATU WALIOIBA PAGE YANGU HAWANA LENGO LINGINE ZAIDI YA KUNICHAFUA NA KUNIHARIBIA LAKINI MUNGU WANGU HALALI WALA HANA LIKIZO NINACHOWAAMBIA WATU HAO NI...........nilipoanza muziki mama alisema nijilinde kwa kusali, akanipa maji ya baraka biblia na rozali, muziki wangu haukujengwa kwa tofali, unayewaza kuubomoa nakuchinja kwa mistari. #WALEWALE"

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>