Ndani ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi,
vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala na ipo karibu na uwanja
Nyumba hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu
na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976
Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia