Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HABARI KAMILI YA MTANGAZAJI MAARUFU TV HAPA DAR ALIYEPATA AJALI MBAYA LEO ASUBUHI SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

...Mkambala akiingizwa Theatre.

HALI ya Mtangazaji wa Channel 10, Salumu Mkambala aliyepata ajali alfajiri ya leo kwa kugongana na lori akiwa safarini kuelekea Morogoro inaendelea vizuri katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha mkoani Pwani.

Akizungumza na mwandishi wetu hospitalini hapo, mdogo wa mtangazaji huyo, Ramadhani Mkambala alisema kaka yake alikuwa akielekea Morogoro na alipofika maeneo ya Vigwaza aligongana na lori alfajiri saa 10. 30 akiwa yeye na mtu mmoja aliyempa lifti.

Hata hivyo, chanzo cha ajali hiyo kilitajwa na Ramadhani kuwa ni kutokana na barabara ya eneo hilo kuwa na mashimo mengi hali iliyosababisha gari la kaka yake kuhama upande wake na kulivamia lori.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles