@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK LIVE:-HABARI MPYA NI KWAMBA KAMPUNI MOJA KUBWA SANA YA SIMU HAPA BONGO IMETUPA MKATABA MPYA WA KUITANGAZA KWENYE BLOGU YETU KUANZIA MWISHO WA MWEZI HUU KWA KUJALI UKWELI WA UTAFITI WA KISAYANSI KWAMBA BLOGU HII YA WANANCHI NDIO BLOG NAMBA MOJA TANZANIA YENYE VISITORS WENGI KULIKO ZOTE WALIO DIASPORA INGAWA WANAO ONGOZA KWA NAMBA NI VISITORS KUTOKA HAPA HOME BONGO NA INAFUATIA USA NA UK, LAKINI NAMBA ZA DIASPORA NI KUBWA SANA KULINGANISHA NA BLOGU ZINGINE ZOTE TANZANIA, NI FACTS NA ZIPO NINAWEZA KUZIWEKA HAPA ANYTIME ZIKIHITAJIKA LIVE!! - JUZI NILIITWA KITUO MAALUM CHA MATANGAZO YA BIASHARA ONLINE PALE LEADERS KINONDONI NA KUONYESHWA NAMBAZ ZA KWA NINI BLOG YETU NI NAMBA MOJA KWENYE MAENEO YA DIASPORA I WAS FLATTERED BY THE NEWS NA I AM HUMBLED KUPITA MAELEZO WANDUGU, MAANA YAKE NI KWAMBA KIBIASHARA KAMA KUNA KAMPUNI YOYOTE INAYOTAKA KUTANGAZA BIASHARA AU HABARI ZAKE KWA LENGO LA DIASPORA, BLOGU HII YA WANANCHI NDIO HASWA MAHALI PA KWENDA I AM DOWN SANA NA THE NEWZZZ NA LOVE IT NA MUNGU AWABARIKI WOTE OUR VISITORS!!-LE MUTUZ