$ 0 0 Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha.Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu katika moja ya ufukwe wakila bata.