Upande mmoja wa jengo hilo. Likionekana kwa mbele.Likionekana kwa mbali.JENGO la ghorofa tano linalojengwa pembezoni mwa barabara ya kwenda Tandale Sokoni maeneo ya Manzese limepigwa marufuku na mamlaka husika kuendelea kujengwa kutokana na kuonekana limepinda