Samir Nasri: "Kama asingekuwa muafrika kila mtu angesema ni kiungo bora duniani.
"Unawaona baadhi ya wabrazil au waargentina, sitaki kusema chochote kibaya,ila kwasababu wanatoka katika nchi hizo, basi vilabu vya EPL vinalipa £40m au £50m kwanunua.
"Mtu kama Yaya, ameshinda kila aina ya kombe, nitajie kiungo mmoja wa uzuiaji anayeweza kucheza kama yeye na kumaliza msimu na magoli yasiyopungua 15?