Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MUTUZ STRAIGHT TALK ON WABONGO NA ROHO ZISIZO NA HURUMA TO EACH OTHER LE MBURULAZZZ!!

$
0
0
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-LEO KUNA KIJANA MMOJA AMBAYE MAMA YAKE MZAZI AMESTAAFU SERIKALINI NA KUUMWA SANA MPAKA KUISHIA KUKATWA MGUU NA MADAKITARI, AMELAZWA TOKA JANUARY ALIPOSTAAFU NA SINCE THEN MTOTO WAKE HUYU AMEKUWA AKICHEZEWA CHEZEWA NA WAHUSIKA KUHUSU PENSHENI YA MAMA YAKE, SO JANA HE CAME TO ME NA LEO NIKAMCHUKUA MWENYE ONE ON ONE MPAKA HAZINA TATIZO LILOCHUKUA MIEZI MITATU KUMBABAISHA BABAISHA KUHUSU CHECK YA MAMA YAKE YA SHILLINGI MILLIONI 60, LEO IMECHUKUA DAKIKA 15 TU KUJUA CHECKI ILISHATOLEWA NA IPO WAPI WAHUSIKA WOTE WAMENIAHIDI KWAMBA BY KESHO ITAPATIKANA BILA TATIZO WALA SINA SHIDA YA KURUDI TENA PALE,
 
- JAMANI HIVI HILI TAIFA TUNA NINI HASA? WANANCHI WA TAIFA HILI TUMEINGILIWA NA NINI HASA MPAKA KUKOSA KABISA UBINADAM? MAMA WA MWENZAKO AMELAZWA HOSPITALINI ANAUMWA MPAKA KUISHIA KUKATWA MGUU WEWE BADO UNAMCHEZEA MTOTO WAKE NA CHEKI YAKE YA PENSHENI AMBAYO HAKI YAKE KISHERIA KWELI HUU NI UTU JAMANI? HII HABARI IMENISIKITISHA SANA HIVI KWELI WALE AMBAO HAWANA ACCESS NA MIMI KUWEZA KUWASAIDIA KAMA HUYU KIJANA WA LEO VIPI WAO? AU NDIO ULE UJANJA UJANJA WA KUTAKA KUGAWANA NAYE CHEKI YA PENSHENI YA JASHO LA MAMA YAKE AMBAY HANA HATA UWEZO KUJA KUIDAI TENA? JAMANI WANANCHI WA TANZANIA TUBADILIKENI TUWE NA HURUMA KIDOGO KWA SISI WENYEWE KWA WENYEWE, SIO UUNGWANA NIMEFURAHI SANA ROHONI KWANGU KUONA KIJANA HUYU LEO AKIWA MWENYE FURAHA SANA NA YA AJABU, JAMANI JIONI NJEMA SANA! - LE MUTUZ



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>