$ 0 0 Mabingwa wa Dunia timu ya Taifa ya Spain jana iliendeleza rekodi yake nzuri dhidi ya Italia baada ya kuifunga kwa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.Bao la Spain lilifungwa na Pedro.