Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KIMENUKA INSTAGRAM:- MUKE YA DIAMOND ZARINA AINGIA CHOO CHA KIUME NA KUKUTANA NA HUDDAH SOMA KILICHOJIRI LIVE!!

$
0
0
1473538393484.jpg

Mara baada ya Zarina mwana wa Hassan kupost ujumbe wenye utata kuhusu watu wanaomnyatia nyatia poozo lake la moyo Chibu dangote ambao ujumbe huo kwa namna nyingine ulionekana kumgusa Huddah Monroe kwa kuwa Huddah ana tabia hizo za kunyatia wapenzi wa wanawake wenzake.


Huddah naye hakutaka hili lipite hivi hivi aliamua kumkashifu Zari kwa kuandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa yeye hana muda wa kugombana na watu ambao wana umri sawa na mama yake kwenye mitandao ya kijamii, bali yeye yupo busy na biashara zake zinazomuingizia kipato

1473538377192.png

 1473540786128.png huda si kwa chambo hili takatifuu hehe
1473540814626.png

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles