Bunge limeahirishwa tena huko Dodoma sasa hivi mpaka kesho Asubuhi, maana yake ni kwamba leo peke yake tayari Shilingi Millioni 190 zimeshachomwa as posho za Wabunge, MUNGU AIBARIKI TANZANIA MAANA WAJINGA NDIO WALIWAO!! |
↧
BREAKIN NEWZZZ:- BUNGE DODOMA LIMEAHIRISHWA TENA LEO PEKE YAKE TAYARI SHILINGI MILLIONI 190 ZIMESHACHOMWA NA HAWA WABUNGE!!
↧