Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ & BONGO:- SAKATA JIPYA LA SUPER STAR PNC NA PROMOTA UCHWARA OSTAZ ONA MUPYA YA LEO LIVE!!

$
0
0

 
PNC A.K.A SHINO

 Muda mfupi baada ya kambi ya Ostaz Juma na Musoma Kuvujisha Video na Picha zinamwonyesha msanii PNC akiwa amempigia magoti Ostaz Juma akimwomba msamaha Boss wake wa zamani ili amrudishe kundini, asilimia kubwa ya watu walimshambulia Boss huyo wa Mtanashati Ostaz Juma na Musoma na kukiita kitendo kile kuwa ni cha udhalilishaji hasa ukizingatia yeye Ostaz ana mitonyo na PNC kama msanii alikua anamtegemea Boss huyo amfadhili kwenye Project zake kimuziki, watu wakawa wanamsubiria kwa hamu PNC wakidhani atabwatuka maneno makali kwa Ostaz, lakini kwa ustaarabu PNC alifunguka kuwa yeye haoni ubaya kupiga magoti kwa Ostaz kwani amezoea hata kijijini kwao ni kitu cha kawaida kwa mdogo kupiga magoti kwa mkubwa, PNC akasema yeye anafanya maisha yake hasikilizi maneno ya watu anachotaka ni msaada wa kikazi tuuuu, Kauli hiyo inaonekana iliwaksirisha mashabiki wake na kuanza kumtolea PNC maneno kasha eti kwanini anakubali kuwa bwege, PNC alivumilia maneno yote, sasa yote tisaaa, kumi ni jana baada ya mtu mmoja asiyefahamika kufanikiwa kui hack aacount ya facebook PNC SHINO na ku post status eti 
 
"Kelele za Chura hazimnyimi Ng'ombe kunywa maji." mashabiki wa PNC wakaichukulia kama dongo kwao, yani wanaambiwa wao, ndipo wakatiririsha mitusi kwa msanii huyo, sasa baada ya yote hayo hatimaye PNC ametangaza kuwa kuanzia sasa hivi ameamua kufanya muziki wake kwa kutumia jasho lake kama zamani, kauli hiyo ina maana kuwa hataki shobo kwa Boss wake wa zamani Ostaz Juma Na Musoma, PNC ameongeza kuwa ameamua kufanya hivyo kwasababu maneno yanazidi kuwa mengi na kila siku yanaibuka mapya...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>