Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KOCHA MPYA WA RUVU JKT AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA LIVE!!

$
0
0



Kikosi cha JKT Ruvu kiliitungua Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika pambano la Ligi Kuu Bara lililopigwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Dar es Salaam. Baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar na kuvuna pointi tatu, kocha wa JKT Ruvu, Fred Minziro amesema sasa anaielekeza akili yake katika kuhakikisha anashinda mechi mbili kati ya tano zilizosalia ili kubakia Ligi Kuu.

Kikosi cha JKT Ruvu kiliitungua Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika pambano la Ligi Kuu Bara lililopigwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Licha ya ushindi huo, JKT Ruvu ilionyesha kiwango safi katika mchezo huo huku wachezaji wake wakionekana kujiamini tofauti na mechi zilizotangulia.
Minziro aliliambia gazeti hili kuwa lengo lake ni kuhakikisha anavuna pointi sita katika mechi dhidi ya Mbeya City na Rhino Rangers ambazo kikosi chake kitakuwa nyumbani.
“Nina mechi tano mkononi, nataka nishinde mechi mbili nipate pointi sita ili tusishuke daraja,”alisema Minziro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>