Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE STRESS FREE FROM SINTAH JLO WA BONGO & UGLY UNFILTERED COMMENTS LIVE!!

$
0
0

SHIKAMOO REHEMA SAMO

wacha weeeeeeee Rehema

zawadi zake hizo
Rehema weyeee


shurti kuchuchumaaa weee

haaaa Rehema weye ndani ya Lagos na ma
star wa Nollywood 
Resalicious n Mercy Johnson



Make up Artist wa jiji la Dar Es Salaam na mtaalamu wa nywele zetu Rehema Samo yupo jijini Lagos Nigeria, Rehema ameenda ktk tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards, akiwa amekuwa nominated kama Best Make Up Artist haaaa Rehema kwa shughuli hii usitupandishie bei tu.......

Loviess ukitaka kubanwa vizuri/harusini/kitchen Party na mitoko ya hapa na pale usipate shida huyu dada ni kiboko kwa wanaomfahamu watakwambia uzuri wake yupo mobile anakufuata hotelini, kwako etc hela yako tu.... mambo ya bibi harusi kwenda ma salon mkanukishane vikwapa yamepitwa na wakati ndio wakina Beyonce wanafanya hivyo muite akupambe upambike..... 

akirudi ndani ya bongo  mpigieni 0713 213109 ....


  1. Hahhahahhahhjh nilitaka kumpondea mwaya ila umenifurahisha kwnye mambo ya kunukishana vikwapa sio hilo tu ceo na la kuchambwa kama hujatoa ela huku ukiangaliwa kama nyanya mbichi kwa mwafulenge hiv hajui kama hapa mjin wapambaji kibao sema tu promo ndo hawana manake mtu unalipa ela yako pale kwa madam ila akitokea star utapambwa tuuuu ilimradi baaaaasi amuwah mteja wake kwake mtu wa kawaida ni fala na kwa mastar ni wafalme mfyuu hanion ngooooo@pleaaase rehenlma jali wateja wako wa namna zote
    Reply
  2. safisanaa namjua hatakabla hujamjua Enzi za ips alitokea huko kwa rozella,nimpambaji mzuri mno na anaupendo.nampenda sana.naninafurahi kumuona anafika mbali.keep it up rehema.
    Reply
  3. Leo nasema kuwa rehema is one of the best makeup artist very charming down to earth,rehema hana shida kabisa na anapamba fresh.
    Aje huyo glambigijii bidada punguza kisirani watu wanalalamika lugha communication is key to satsify a customer.
    Reply
  4. wapi madam glam,sikuelewa pale yule mariam na sekafifi walivyosema mbaya ni mama wa dubai?Mariam aka toxeeq, tunakujua toka upo ifm acha dharau usilete ugomvi kwa watu wasiokuhusu,focus on your marriage
    Reply
  5. Wanajua kunanga kuna dada mmoja rafiki yao maarufu jina lake ni MM anaishi nchi fulani wanamponda pale eti apambiki sura nzito hela zina msaidia tunamaliza make up sio kama wema kirahisi kumpamba .kwa madam masaki kuna mambo alikuja dukani kwangu siku moja ana madharau wakati nawajua tangia mama yake anafanya kazi raha tower jamani dunia hii.rehema upo juu nakupenda sana
    Reply
  6. Mungu aibariki kazi ya mikono yake coz mtafutaji hachoki akichoka kapata
    Reply
  7. Yani dada Rehema ana lugha nzuri hata kama hakujui anakujari sio kama yule domo sijui gladmaaa sijui ushuzi gani,
    Reply
  8. OOOOOOOOOOOOOOOOOOFF TOOOOOOOOOOPICCCCCCCCCCC

    BARUA YA WZZI KWA LELUU SALOON

    DEAR LELUU
    NATUMAI UMZIMA NA UTASOMA HAPA KWA KUTUMIA MACHO YAKO NA KUPAMBANUA KWA AKILI YAKO..SINASEHEMU YAKUKUFIKISHIA UJUMBE HUU ILA KUPITIA HAPA

    LELUU SALOON ILIKUWA HAINA JINA HATA TONE ILA KUPITIA WATEJA WAKO SISI AMBAO TUMEKUWA TUKIKUTANGAZA KWA KUWAELEEKEZA WATU WAJE KWAKO UMEPATA JINA INGAWA KUSUKA KWAKO SIO KWA KUTISHIA AAAAMAAAAAAANI

    TABIA ULIYOIANZISHA NDIO ITAKAYO KUFUNGIA BIASHARA MAANA UNADHARAU SISI WATEJA TULIOKUPIGIA PROMO MWANZO NA KUPAPATIKIA WATEJA WAKO MA SUPER STAR..

    BEI ZA KUSUKIA WEAVING NI KUBWA KULIKO QUALITY YA WEAVING UNAYOTOKA UMESHUKWA

    MTEJA AKIJA UNAMJIBU DRY ILA WAKIJA WA KINA LULU UNAWACHEKEA KAMA UMEONA MBOO..SASA IKO HIVI

    WADADA WOTE WENYE VIBOTIKI UCHWARA NA MA MAKE UP ARTST HUU UJUMBE UWAFIKIE PIA KOKOTE MLIKO .. HAKUANA 100000 BILA ELFU 5000. HALAFU DHARAU ZENU ZA KUDHARAU WATEJA MNAKOSA PESA SANA..MAANA WENGINE TUKO SIMPLE HATUWEKI ME MAKE UP HATUVAA NUSU UCHI KAMA MA STAR WENU WACHAFU WACHAFU ILA TUKIAMUA KU SHOP HUTOAMINI..

    REKEBIKENI ACHENI DHARAU...

    LEO NIMEMTAJA LELUU SALOON KESHO NAKUTAJA MAZNAT...

    NA NAIMANI SI MM PEKE YANGU NILIYEONA MAPUNGUFU YENU

    NIMEMALIZA
    Reply
  9. Alikuaga lumine namanga enzi zileeee kweli kila kitu ni jitihada tu,don't give up

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>