Mzazi wa mkali wa vipindi vya luninga, Kim Kardashian Kris Jenner,
zimezaa matunda baada ya mwanamuziki
wake huyo ata baada ya kumuuoa.
West alikubali kuwa ''Buzi la kuchunwa'' na kim,
baada ya kuandikisha hati ya makubaliano
kabla ya ndoa 'Prenup'' na miongoni mwa mambo
ambayo atakuwa akimfanyia mwanamama
huyo ni pamoja na kumlipa dola milioni moja kila
mwaka katika kipindi chote cha ndoa.
Kwa mujibu wa mtandao wa radar online, Kanye pia
atamuachia Kim Nyumba yao mpya iliyopo Vel
Air, Los Angels, ambayo imeandikwa jina la
mwanamama huyo, vile vile fedha zote zitakazopatikana kupitia
Kim ikiwamo matangazo kipindi cha ''Keeping
up with Kardashian', zitaendelea kuwa za Kim.
Awali, mama wa Kim alimtaka mwanamuziki huyo
kukaa mbali na shuguli za kifedha za binti yake Kim,
kwa madai kuwa anaingilia maisha binafsi
ya mwanaye baadala ya mapenzi.